- 42,072 viewsDuration: 1:05Mwanaume mmoja aliyekaa gerezani kwa miongo kadhaa akisubiri kunyongwa ameachiwa kwa dhamana baada ya ushahidi mpya wa DNA kutomhusisha na mauaji aliyohukumiwa. Douglas Stewart Carter, 71, sasa anasubiri kusikilizwa tena kwa kesi hiyo ya mauaji ya mwaka 1985. #bbcswahili #mahakama #haki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw