- 27,692 viewsDuration: 1:51Agosti 12, dunia inashuhudia tukio la kuvutia la kupatwa kwa Jua, huku baadhi ya maeneo yakishuhudia kupatwa kwa ukamilifu na mengine kwa sehemu. Sasa je kupatwa kwa Jua kuna maanisha nini na maeneo yatakayofanikiwa kushuhudia tukio hili? @sarafinarobi anaelezea #bbcswahili #kupatakwajua #solareclipse Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw