Skip to main content
Skip to main content

Familia yanusurika kabla tetemeko la ardhi kutikisa nyumba yao

  • | BBC Swahili
    10,687 views
    Duration: 52s
    Familia hii imenusurika baada ya kutoka nje muda mfupi kabla tetemeko la ardhi kuanza kutikisa nyumba yao huko magharibi mwa Colombia “Mwanzoni, tulidhani lilikuwa tu tetemeko dogo kama yale yanayotokea mara kwa mara nchini Colombia, lakini baada ya kupita zaidi ya sekunde 30 na kila kitu kuendelea kutikisika kwa nguvu zaidi, tulijuwa hili ni kubwa zaidi" Kwa mujibu wa mamla ya Jiolojia ya nchi hiyo, Hili ni tetemeko kubwa zaidi la ardhi kuikumba Colombia katika karne ya 21 ambapo watu zaidi ya 132 wanaripotiwa kufariki. #bbcswahili #tetemekolardhi #Colombia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw