- 4,868 viewsDuration: 31sWatu wawili mjini Diyarbakir, Uturuki, walijeruhiwa baada ya mtu kurusha fataki wakati wa kusherehekea ushindi wa timu ya Amedspor dhidi ya Besiktas. Amedspor ndiyo timu pekee kutoka Diyarbakir inayoshiriki Ligi Kuu ya Soka ya Uturuki. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya eneo hilo, mmoja wa waliojeruhiwa alipata majeraha ya kuungua na alihitaji kushonwa kwenye taya na sikio. #bbcswahili #uturuki #ajali Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw