Skip to main content
Skip to main content

Gari la lagonga pikipiki na kumrusha chini mwanaume mmoja

  • | BBC Swahili
    9,340 views
    Duration: 20s
    Picha za kamera za CCTV zinaonyesha gari lililokuwa likiendeshwa kwa mwendo kasi likigonga pikipiki iliyokuwa imeegeshwa, huku mwanamume mmoja akiwa ameiegemea. Mwanamume huyo alitupwa chini lakini hakupata majeraha. Hata hivyo, pikipiki hiyo ilirushwa na kumgonga mtu aliyekuwa karibu, ambaye alijeruhiwa na kupelekwa hospitalini. Polisi wanamsaka dereva wa gari hilo ili kumkamata. #bbcswahili #ajalibarabrani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw