Skip to main content
Skip to main content

Harmonise asema 'kisa cha kuitwa Basata'

  • | BBC Swahili
    27,965 views
    Duration: 1:21
    Mwanamuziki wa bongofleva Harmonise@kondeboy_tz amefunguka kuhusu sakata la video ya Kudos. Akizungumza na DJ Edu wa This is Africa, msanii huyo ameeleza kuhusu barua ya wito alioupata kutokana na maudhui ya video hiyo na uamuzi wa kuizuilia nchini Tanzania. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw