Skip to main content
Skip to main content

Ikulu yahimiza kuongezwa kwa mgao wa bajeti

  • | KBC Video
    35 views
    Duration: 2:07
    Ikulu ya Rais ilikuwa imeomba shilingi bilioni 20 kufadhili shughuli zake katika Ikulu zote ndogo humu nchini, katika mwaka wa kifedha wa 2026/2027. Akiwa mbele ya kamati ya bunge la kitaifa ya usimamizi na usalama wa taifa, msimamizi wa Ikulu Katoo Ole Metito, alisema hazina ya kitaifa ilitoa mgao wa shilingi bilioni 13, na hivyo pengo la shilingi biloni 7. Katika mwaka wa kifedha uliopita, Ikulu ya Rais ilipata mgao wa shilingi bilioni 17. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive