Skip to main content
Skip to main content

Iran yasema haitakubali lugha ya nguvu na vitisho kutoka kwa Marekani. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    43,238 views
    Duration: 28:16
    Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ameonyesha msimamo thabiti na usioyumba, akisema Tehran haitanyenyekea wala kusalimu amri mbele ya vikwazo vya Marekani. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw