Skip to main content
Skip to main content

J-10C Fighters: Nini kinazifanya ndege hizi za kivita kuwa hatari zaidi?

  • | BBC Swahili
    16,681 views
    Duration: 2:25
    Jeshi la Anga la China limeendelea kuonyesha nguvu zake kupitia ndege za kisasa aina ya J-10C, ambazo zimekuwa sehemu muhimu ya mazoezi makubwa ya kijeshi yanayofanyika katika mazingira yanayofanana na vita halisi. Je ndege hizi zinauwezo gani? #bbcswahili #China #ndegeyakijeshi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw