Skip to main content
Skip to main content

Jamii ya Ameru yalaani mauaji na ongezeko la visa vya wizi wa mifugo katika mpaka wa Isiolo na Meru

  • | NTV Video
    443 views
    Duration: 1:34
    Jamii ya Ameru inayoishi katika kaunti ya Isiolo imelaani mauaji na ongezeko la visa vya wizi wa mifugo vinavyoendelea kushuhudiwa katika mpaka wa Isiolo na Meru, licha ya eneo hilo kuwa chini ya operesheni ya usalama. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya