Skip to main content
Skip to main content

Je, AI ni Mpinga Kristo?

  • | BBC Swahili
    11,210 views
    Duration: 2:01
    Je Akili Mnemba au AI inaweza kuwa chombo kitakachotumiwa na Mpinga Kristo kuwahadaa wanadamu katika nyakati za mwisho. Lakini je, hofu hiyo ina msingi wa kibiblia au ni tafsiri ya kisasa ya maendeleo ya teknolojia? Mwandishi wa BBC @agnespenda na taarifa hii - - #bbcswahili #akilimnemba #teknolojia #ukristo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw