Skip to main content
Skip to main content

Je kuwa na ushiriki wa wagombea wengi katika uchaguzi ni ishara ya demokrasia?

  • | BBC Swahili
    28,689 views
    Duration: 1:42
    Uchaguzi wa urais wa mwaka huu nchini Tanzania umeweka historia mpya baada ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuidhinisha rasmi jumla ya wagombea 17. Idadi hii ni kubwa zaidi ikilinganishwa na ile ya mwaka 2020 ambapo wagombea 15 pekee walijitokeza. @mrs.tadicha anatuelezea - - #bbcswahili #tanzania #siasa #uchaguzimkuu2025