- 26,172 viewsDuration: 2:12Baadhi ya viumbe wanaoonekana wa ajabu zaidi ndio wenye uwezo wa kipekee wa kuishi. Kutoka samaki mwenye uso wa kushangaza hadi mnyama anayefanana na ndoto ya kutisha, hawa ni viumbe watano wenye mwonekano wa kipekee zaidi duniani na sababu zitakushangaza.Mwandishi wa BBC Caro Robi na taarifa zaidi - - #bbcswahili #wanyama #foryouシ Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw