Skip to main content
Skip to main content

jE unaficha huzuni nyuma ya tabasamu?

  • | BBC Swahili
    7,854 views
    Duration: 1:32
    Ikiwa unaonekana mwenye furaha kwa nje huku ukiwa unateseka kimya kimya kwa ndani, huenda una aina isiyo ya kawaida ya msongo wa mawazo inayojulikana kama “smiling depression”. Kuficha hisia za kweli kunaweza kuwa na madhara kwa afya ya akili. Hizi ni dalili zinazoweza kusaidia kutambua hali hiyo #bbcswahili #utafiti #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw