- 16,351 viewsDuration: 1:29Madai kuhusu uwezo wa vitunguu kutibu magonjwa kama mafua yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara kwenye mitandao ya kijamii. Lakini, je, kuna ushahidi wowote kwamba vitunguu vinaweza kuondoa sumu mwilini au kutibu maambukizi? Bosha Nyanje anaelezea #bbcswahili #afya #mafua Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw