- 4,324 viewsDuration: 41sTazama kiwavi wa baharini (jellyfish) mkubwa mithili ya basi alivyonaswa kwenye kamera karibu na pwani ya Wales nchini Uingereza. Mpiga mbizi Iestyn Morgan ambaye ndiye aliyemuona na kumpiga picha za video alisema kuwa “na urefu sawa na basi”, akikadiriwa kuwa na urefu wa mita 10 hadi 15. #bbcswahili #jellyfish #baharini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw