Skip to main content
Skip to main content

Joseph Cutz: Kinyozi wa DRC anayenyoa watu maarufu Kenya

  • | BBC Swahili
    3,254 views
    Duration: 6:06
    Rutebeza Djuma Joseph, almaarufu Joseph Cutz ni kijana kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, DRC ambaye amepata umaarufu kwa kuwa kinyozi wa watu mashuhuri nchini Kenya. Joseph Cutz amewahi kuwanyoa watu mashuhuri kama IShowSpeed,mwanamuziki mashuhuri Fally Ipupa na wengine. Joseph anasema kazi ya kunyoa inaweza kumletea kijana kipato na kumfanikisha maishani. @joseph_cutz01 alizungumza na mtangazaji kinara wa BBC @roncliffeodit wakati akimnyoa... #bbcswahili #vijana #josphcutz Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw