Skip to main content
Skip to main content

Joseph Cutz: Kinyozi wa watu maarufu Kenya

  • | BBC Swahili
    18,214 views
    Duration: 2:33
    Rutebeza Djuma Joseph, almaarufu Joseph Cutz ni kijana kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, DRC ambaye amepata umaarufu kwa kuwa kinyozi wa watu mashuhuri nchini Kenya. Joseph amezungumza na mtangazaji kinara wa BBC Roncliffe Odit wakati akimnyoa... #bbcswahili #vijana #josphcutz #bbcswahili #vijana #josphcutz #ajira #nyotawaafrikamashariki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw