- 11,184 viewsDuration: 2:59MAAFA BARABARANI Leseni za kuhudumu za kampuni nne kuu za uchukuzi wa umma zimesimamishwa na halmashauri ya kitaifa ya uchukuzi na usalama barabarani NTSA. Uamuzi huo unafuatia msururu wa ajali wakati wa msimu wa sherehe. Halmashauri hiyo imesema wahudumu hao walikiuka kanuni za usalama, kukosa kuzingatia sheria na kukiuka kanuni za uhudumu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive