- 164 viewsDuration: 3:57Maafisa wa shirika la utangazaji humu nchini KBC pamoja na wenzao wa kamati kuu ya Huduma Kenya wamesaini mkataba utakaohakikisha huduma za shirika la KBC zinawafikia wananchi kwa urahisi kupitia majukwaa ya vituo vya huduma. Katibu katika idara ya uwekezaji wa umma na usimamizi wa mali Cyrell Odede amesema ushirikiano huo utakaoanza kwenye kituo cha huduma cha Makadara utasambazwa kwenye kaunti zote 47 katika kipindi cha mwaka mmoja ujao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive