Skip to main content
Skip to main content

Kenya: bunge la lapitisha muswada wa kulinda akina mama wanaonyonyesha

  • | BBC Swahili
    4,300 views
    Duration: 2:03
    Bunge la Kenya limepitisha muswada unaowataka waajiri kuweka vyumba maalumu kwa ajili ya akina mama wanaonyonyesha au wanaokamua maziwa wakiwa kazini. Vyumba hivyo vinapaswa kuwa safi, salama na vya faragha, vikiwa na vifaa muhimu kama kiti, meza, sehemu ya kunawia mikono na friji ya kuhifadhi maziwa. #bbcswahili #wanawake #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw