Skip to main content
Skip to main content

Kenya: Mwaka mmoja baada ya kifo cha Raila Odinga

  • | BBC Swahili
    11,536 views
    Duration: 2:39
    Miezi kumi na miwili iliyopita, Kenya ilisimama tuli. Kifo cha Raila Amollo Odinga kiliacha utupu ambao haujajazwa hadi leo. Lakini swali ni moja kubwa linalobaki akilini mwa kila Mkenya leo: Je, siasa na maisha ya kawaida yamebadilika vipi tangu Baba alipopunga mkono wa mwisho? Mwandishi wa BBC Leila Mohammed @mrs.tadicha anachambua suala hilo kwa kina. 🎥: @frankmavura #bbcswahili #kenya #railaodinga Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw