Skip to main content
Skip to main content

Kenya: Ruto ataka nyati wafugwe kwa ajili ya maziwa

  • | BBC Swahili
    44,173 views
    Duration: 2:23
    Rais wa Kenya, William Ruto, anataka nchi hiyo kuchunguza uwezekano wa kufuga nyati kwa ajili ya uzalishaji wa maziwa. Wazo hili linaweza kuongeza uzalishaji na mapato ya wafugaji, lakini pia lina changamoto zake. Je, maziwa ya nyati yakiingia sokoni, utayajaribu au utabaki na maziwa ya ng’ombe? Mwandishi wa BBC @mariammjahid anasimulia zaidi. 🎥: @frankmavura #bbcswahili #kenya #maziwayanyati Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw