- 20,331 viewsDuration: 1:49Kenya imethibitisha kesi yake ya kwanza ya Ebola, huku mgonjwa huyo akifariki dunia. Alikuwa raia wa Kenya aliyeishi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kwa miaka saba na aliwasili Nairobi Oktoba 3 kupitia Uganda. Vipimo vilithibitisha kuwa alikuwa ameambukizwa Ebola aina ya Bundibugyo. Mwandishi wa BBC@mrs.tadicha na taarifa zaidi 🎥: @brianmala1 & @frankmavura #bbcswahili #eboladrc #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw