- 9,310 viewsDuration: 2:57Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini Tanzania, Tundu Lissu, leo amefikishwa mahakamani ambapo kesi yake ya uhaini inaendelea kusikilizwa. Kesi hiyo imeanza tena baada ya kusimama kwa takribani miezi mitano tangu Februari 24, 2026. #DiraYaDuniaTV