Skip to main content
Skip to main content

Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu yaendelea baada ya miezi 5

  • | BBC Swahili
    25,819 views
    Duration: 1:01
    Tazama jinsi Mwenyekiti wa chama cha upinzania Tanzania CHADEMA Tundu Lissu, aalivyowasili katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, kwa ajili ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi ya uhaini inayomkabili. Kesi hiyo imeanza tena baada ya kusimama kwa takribani miezi mitano #bbcswahili #tundulissu #chadematazania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw