- 18,807 viewsDuration: 39sKiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amekutana na kuwapongeza wachezaji wa klabu ya wanawake ya Naegohyang waliotwaa ubingwa wa Asia, pamoja na timu ya wasichana chini ya miaka 17, ambapo wote walionyesha furaha kubwa na hata kulia kwa hisia. Timu hiyo pia ilishinda dhidi ya timu ya Japan na imefuzu mashindano ya kimataifa yajayo, jambo linaloonyesha mafanikio makubwa ya soka la wanawake nchini Korea Kaskazini. #bbcswahili #kimjongun🇰🇵 #koreakaskazini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw