Skip to main content
Skip to main content

Kiwanda cha mafuta Moscow cha teketea kwa shambulio la Ukraine

  • | BBC Swahili
    7,396 views
    Duration: 16s
    Kiwanda cha kusafisha mafuta cha Moscow kimeteketea baada ya shambulio la ndege zisizo na rubani kutoka Ukraine Meya wa Moscow, Sergei Sobyanin, amesema ndege zisizo na rubani 450 zilizokuwa zikielekea katika mji mkuu wa Urusi zilidunguliwa katika kile alichokiita “shambulio lisilo la kawaida.” Gavana wa eneo hilo amesema watu wasiopungua wawili wameuawa na 20 wamejeruhiwa. Kiwanda kikuu cha kusafisha mafuta cha Moscow kiliharibiwa, huku nyumba kadhaa zikiteketea. #bbcswahili #moscow #ukraine Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw