Skip to main content
Skip to main content

Kongamano la kitaifa ujumuishaji wa watu walio na ulemavu lang’oa nanga Nairobi

  • | KBC Video
    48 views
    Duration: 2:56
    Walezi, watu wenye mahitaji maalum, watungaji sera na maafisa wa serikali wanakutana jijini Nairobi kwa mazungumzo ya kitaifa ya siku mbili kwa lengo la ujumuishaji wa watu wanaoishi na ulemavu humu nchini.KIkao hicho kinachoendelea katika taasisi ya utayarishaji mitaala ya masomo nchini KICD kinanuia kuimarisha utekelezajhi sera na kuboresha wito wa watu wanaoishi na ulemavu nchini. Aaron Marie ana taarifa zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive