Skip to main content
Skip to main content

KRA yashirikiana na KBC kuhamasisha kuhusu ulipaji ushuru

  • | KBC Video
    113 views
    Duration: 2:11
    Halmasahuri ya ukusanyaji ushuru nchini KRA imesema imenakili idadi kubwa ya watu wanaojiunga na mpango mpya ulioanzishwa hivi majuzi wa ukusanyaji wa ushuru unaotumiwa na wafanyakazi kuwasilisha kukumbuku za malipo ya ushuru.Kwenye kampeini yake inayoendelea kwa jina Jijue Jibetter katika eneo la kati kati mwa nchi halmashauri hiyo imesema inalenga kukusanya shillingi millioni 300 katika eneo hilo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive