- 136 viewsDuration: 1:47DEMOKRASIA CHUONI Mzozo wa uongozi umekumba chuo kikuu cha Nairobi kufuatia kuahirishwa kwa uchaguzi wa chama cha wanafunzi. Kaimu rais wa chama cha wanafunzi,UNSA Michael Soy anaonya kwamba kuahirishwa huko kunakohusishwa na kesi iliyoko mahakamani kumesababisha ombwe la uongozi katika uwakilishi wa wanafunzi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive