Skip to main content
Skip to main content

Kwa heri Raila Odinga: Uchunguzi wa BBC Afrika Eye

  • | BBC Swahili
    28,854 views
    Duration: 27:37
    Waombolezaji watatu waliuawa kwa kupigwa risasi wakati wa shughuli za wananchi kuuaga mwili wa Raila Odinga katika Uwanja wa Kasarani jijini Nairobi. Africa Eye inafanya uchunguzi upya wa tukio hilo la ufyatuaji risasi na kuchunguza ni nani aliyefyatua risasi 00:00 Utangulizi 03:15 Kwa heri Raila Odinga 05:08 Mwili wa Odinga warejeshwa Kenya 07:28 Maelfu ya watu waelekea Uwanja wa Kasarani 09:20 Hali ya wasiwasi ndani ya uwanja 12:02 Ufyatuaji risasi waanza 14:26 Waombolezaji watatu wauawa 17:03 Vincent, Jidah na Evans walikuwa nani? 19:13 Uchunguzi wa kina kuhusu tukio la ufyatuaji risasi Kasarani 21:14 Nani aliyefyatua risasi? 24:52 Kufuatilia kikosi maalumu cha polisi 25:49 Uhusiano na kikosi cha ulinzi wa rais 26:00 Familia ambazo bado zinasubiri majibu #bbcswahili #bbcafrikaeye #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw