- 64,387 viewsDuration: 1:31Wahouthi wamekuwa wakichukua nafasi kwenye vichwa vya habari kutokana na mfululizo wa mashambulizi dhidi ya maeneo mbalimbali ndani na karibu na Saudi Arabia. Lakini kundi hili la Yemen limewezaje kukabiliana na kutishia nchi yenye nguvu kubwa ya kijeshi na fedha? Chanzo cha mgogoro huu ni nini na unaweza kumalizikaje? Mwandishi wa BBC Leila Mohammed ameliangazia kundi hilo kwa kina. 🎥: Frank Mavura #bbcswahili #saudiarabia #houthi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw