Skip to main content
Skip to main content

Kwanini mapenzi ya kwanza ngumu kusahaulika?

  • | BBC Swahili
    13,082 views
    Duration: 2:46
    Hivi ni kweli mpenzi wa kwanza hasahauliki? Inasemekana kwamba inaweza kupita hata miaka 20, 30 au 50, ila bado watu wengi hukumbuka mapenzi yao ya kwanza? Je, ni kwa sababu yalikuwa ya kweli, au kuna sayansi nyuma yake? Wataalamu wa saikolojia wanasema jibu haliko moyoni pekee, lipo pia kwenye ubongo. Hebu tazama kwa nini kumbukumbu za mapenzi ya kwanza huwa ngumu sana kufutika. Mwandishi wa BBC @frankmavura anaangazia swala hili - - #bbcswahili #mapenzi #mahusiano Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw