Skip to main content
Skip to main content

Kwanini Marekani inaondoa wanajeshi wake Iraq?

  • | BBC Swahili
    44,349 views
    Duration: 1:59
    Marekani inawaondoa wanajeshi wake wote waliosalia nchini Iraq Septemba 30, 2026, na hivyo kumaliza uwepo wake wa kijeshi ulioanza baada ya uvamizi wa Marekani nchini Iraq mwaka 2003, uliomuondoa madarakani Saddam Hussein. Kwa nini sasa, nini kimebadilika na nini kinafuata? @marthasaranga anaelezea #bbcswahili #iraq #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw