- 11,913 viewsDuration: 37sMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, anaendelea na kesi ya uhaini inayomkabili katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam. Hapa anasikika akitaja chakula anachoenda kula pamoja na kueleza uchovu aliona nao - - #bbcswahili #lissu #foryou #siasa #chadema #mahakamani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw