Skip to main content
Skip to main content

Maajabu ya mwanamke anayefuga panya

  • | BBC Swahili
    7,542 views
    Duration: 1:13
    Ukisikia ufugaji, unafikiria ng'ombe au kuku, sivyo? Lakini je, umewahi kufikiria kufuga panya? Nchini Uganda, mwanamke mmoja anafuga zaidi ya panya 30,000 na anazipata faida kutokana nao. Kwa nini alichagua biashara ambayo wengi hawawezi hata kuifikiria? Mwandishi wa BBC Shuaib Ibrahim na taarifa zaidi: - - #bbcswahili #uganda #ufugaji #panya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw