- 12,089 viewsDuration: 1:57Umewahi kushuhudia macho ya paka yakikutazama gizani? Inasemekana kuwa "mwanga" wa ajabu wa macho yao ndio uliomchochea Mwingereza mmoja kubuni vifaa vya kuakisi mwanga vinavyotumika barabarani kwa ajili ya usalama mwaka wa 1933. Na leo hii, wahandisi wanabuni kamera za roboti zenye teknolojia ya juu wakizingatia muundo wa macho hayo ya kipekee. Victor Kenani anaelezea kwa kina #bbcswahili #paka #teknolojia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw