- 14,629 viewsDuration: 50sMaelfu ya watu walijitokeza katika mazishi ya afisa mkuu wa usalama wa Iran, Ali Larijani, na Gholamreza Soleimani mkuu wa kikosi cha kijeshi cha Basij. Tukio hilo pia lilikumbuka mabaharia waliouawa wakati Marekani ilipoizamisha meli ya kivita ya Iran, Iris Dena, Machi 4 kilomita 40 kutoka pwani ya kusini ya Sri Lanka. #bbcswahili #foryou #fyp Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw