Skip to main content
Skip to main content

Magatuzini I Wachimbaji madini haramu Pokot Magharibi wamulikwa

  • | KBC Video
    233 views
    Duration: 2:30
    Maafisa wa usalama katika kaunti ya Pokot Magharibi wamehimizwa kuwakamata wachimbaji madini kinyume cha sheria kwenye migodi ya dhahabu katika kaunti hiyo. Wakati uo huo, wajane kutoka eneobunge la Suba Kusini kaunti ya Homabay wamehakikishiwa msaada wa serikali kuhusu uwezeshaji kiuchumi, elimu pamoja na kupewa ulinzi wa ardhi. Taarifa kamili ni katika dira ya kaunti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive