Skip to main content
Skip to main content

Magatuzini I Wakazi wa Marsabit kupata haki kwenye kesi yao dhidi ya kampuni ya mafuta ya petroli

  • | KBC Video
    106 views
    Duration: 2:57
    Wakazi wa maeneo ya Kargi na Kalacha katika kaunti ya Marsabit, wameelezea matumaini yao kwamba hatimaye watapata haki, kufuatia kuanza kusikizwa kwa kesi iliowasilishwa katika mahakama ya kusikiza kesi za ardhi na mazingira huko Isiolo, dhidi ya kampuni ya mafuta ya petroli inayomilikiwa na Uingereza ya BP, ambapo kampuni hiyo inadaiwa kuchafua mazingira kutokana na shughuli za kutafuta mafuta katika eneo hilo. Kwa haya na mengine, ni kwenye mseto wa taarifa za kaunti. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive