- 10,089 viewsDuration: 1:35Magonjwa ya moyo yanaweza kuathiri moyo, ubongo, figo na viungo vingine muhimu vya mwili. Lakini ni magonjwa gani ya moyo yanaweza kuhatarisha maisha kwa haraka? Haya ni magonjwa 5 ya moyo yanayoua haraka na dalili za kuzingatia. Bosha Nyanje anaelezea #bbcswahili #afya #moyo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw