Skip to main content
Skip to main content

Magonjwa 5 ya moyo yanayoweza kusababisha kifo ghafla

  • | BBC Swahili
    722 views
    Duration: 1:35
    Magonjwa ya moyo yanaweza kuathiri moyo, ubongo, figo na viungo vingine muhimu vya mwili. Lakini ni magonjwa gani ya moyo yanaweza kuhatarisha maisha kwa haraka? Haya ni magonjwa 5 ya moyo yanayoua haraka na dalili za kuzingatia. @bosha_nyanje anaelezea #bbcswahili #afya #moyo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw