Mahakama imekataa kuwaachilia kwa dhamana washukiwa kumi na wawili waliokamatwa kwa madai ya kutekeleza uhalifu katika Kaunti Ndogo ya Butula, Kaunti ya Busia. Washukiwa hao, kutoka kijiji cha Mundasi, wanakabiliwa na mashtaka 11 ya uhalifu ikiwemo uteketezaji mali, wizi wa kimabavu na mauaji, miongoni mwa makosa mengine.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive