- 5,616 viewsDuration: 1:43Je, Kenya ilipaswa kuwa inaelekea kwenye uchaguzi mkuu wiki ijayo? Mahakama ya Malindi imesema kuwa jibu ni ndio. Katika uamuzi unaozua mjadala mkubwa, jaji amesema uchaguzi mkuu ulipaswa kufanyika Agosti 11, 2026, badala ya mwaka 2027 kama ilivyoeleweka kwa muda mrefu. Licha ya kwamba uamuzi uliofikiwa umebaki kuwa 2027 kama ulivyopangwa lakini hatua hiyo imefungua mjadala mpya kuhusu tafsiri ya Katiba na muda halisi wa mihula ya viongozi nchini Kenya. Je, uamuzi huu unamaanisha nini kwa siasa za Kenya?@sarafinarobina taarifa hii: - - #bbcswahili #kenya #siasa #foryouシ #mahakamani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw