- 1,465 viewsDuration: 6:44Majaji 2 kutoka Uganda na Namibia ni miongoni mwa makamishna 6 watakaochunguza waliohusika na makosa ya jinai na ukiukwaji wa sheria uliotokea kabla, wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania Oktoba 29, 2025. Rais Samia Suluhu Hassan ameipatia tume hiyo muda wa miezi mitano kukamilisha kazi yake. Inaongozwa na Jaji wa Mahakama ya Rufani, Shabani Ally Lila. #DiraYaDuniaTV