- 75,921 viewsDuration: 1:45Mama huyu mjane alikimbia kilomita 3 bila viatu ili kushindania fedha za kumsomesha mtoto wake. Ramabai Ranveer alifanikiwa kushinda rupia 3,000 katika mbio hizo. Lakini kitendo chake kimezua mjadala wakihoji, Je, huu ni mfano wa upendo na kujitoa kwa mzazi kwa ajili ya maisha ya baadaye ya mtoto wake? Au ni ishara ya changamoto katika mfumo wa elimu, kiasi kwamba mzazi asiye na kipato analazimika kufanya mambo kama haya ili mtoto wake apate nafasi ya kusoma? #bbcswahili #india #elimuindia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw