- 26,961 viewsDuration: 1:39Ukaguzi wa kushtukiza katika gereza la Cibinong nchini Indonesia umefichua eneo la kifahari linalodaiwa kutumiwa na baadhi ya wafungwa maalumu. Gereza hilo lina bwawa la kuogelea, vyumba vya kifahari, kiyoyozi, EPL, sofa na hata sehemu ya kuchezea gofu. Mamlaka sasa zinachunguza madai kwamba wafungwa walilipa fedha ili kupata huduma hizo. @bosha_nyanje anaelezea #bbcswahili #Indonesia #Cibinong Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw