Skip to main content
Skip to main content

Maraga arai wakaazi wa Turkana kujisajili kuwa wapiga kura

  • | NTV Video
    120 views
    Duration: 1:47
    Kinara wa chama cha United Green Movement, mgombea urais na aliyekuwa jaji mkuu David Maraga amewaomba wakaazi mijini Turkana kujisajili kuwa wapiga kura kwa wingi huku akisema uchaguzi ujao wa mwaka 2027 ni wa maana sana kwa mkenya. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya