- 17,754 viewsDuration: 34sMarubani wawili wa Jeshi la Anga la Uingereza, RAF, wamejirusha kutoka kwenye ndege yao kwa kutumia parachuti, muda mfupi kabla ya ndege hiyo ya mafunzo kuanguka katika eneo la Anglesey. Polisi wa North Wales wamesema marubani hao wanapatiwa matibabu baada ya kupata majeraha madogo katika tukio hilo. Msemaji wa RAF amesema jeshi hilo linafanya uchunguzi kubaini chanzo cha ajali hiyo #bbcswahili #uingereza #mbinuzakijeshi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw